Kwa muda mrefu sasa, wadau na wawekezaji wamekuwa wakitumia rasilimali nyingi kutekeleza miradi ya makazi, maji na miundombinu ya usafi wa mazingira. Hii ni kwa sababu watekelezaji wengi, ikiwemo mashirika ya serikali na taasisi za huduma, hutegemea teknolojia za kawaida pekee ambazo ni ghali sana na hazitatui changamoto ya gharama nafuu.

Uwekezaji wa aina hii bado ni sehemu muhimu ya mkakati mpana wa usafi wa mazingira mijini, lakini unatakiwa kuonekana kama nyenzo ya utoaji huduma na siyo suluhisho lenyewe. Kwa mfano, kuna hatari ya kuangalia mfumo wa maji taka kama aina pekee ya ‘usafi wa mazingira unaofaa’ mijini, ambapo maafisa wa halmashauri au serikali huamua kuchagua chaguo hili hata pale ambapo halina uhalisia wa kiufundi wala kifedha.

Mbinu Yetu:

Matofari ya Kufungamana

Matofali ya kufungamana (interlocking bricks) yanatumia kiasi kidogo cha saruji pamoja na kiasi kikubwa cha fusi. Hii inasaidia kukabiliana na changamoto ya uaffordability kwa wananchi wa kipato cha chini mijini.

Matofali ya Trapezoidal
Matofali ya trapezoidal ni matofali yanayotengenezwa kwa mchanganyiko wa saruji na mchanga, na yana umbo la trapezium yanayotumika kuwekea kuta za vyoo. Matofali haya yanatumia kiasi kidogo cha saruji hivyo kupunguza gharama za ujenzi wa vyoo.

Mbinu za Ujenzi kwa Kutumia Chupa (Bottled Walling Techniques)
Chupa za maji zilizojazwa mchanga ni ubunifu unaolenga kutoa njia ya ujenzi wa vyoo na nyumba kwa gharama nafuu, huku pia ukichangia katika utunzaji wa mazingira.Trapezoidal blocks are cement sand kind of blocks which have a shape of trapezium used for toilets lining. They are using less cement hence reducing the cost of toilet construction.

Bottled Walling Techniques

Water bottle filled up with sand is an innovation aimed at providing low cost construction of toilets and housing, while contributing to environment management.